Mawasiliano - Whitemark Hotels

Go to content

Main menu:

Mawasiliano

Kwa mawasiliano zaidi, hoteli ya Whitemark ipo kiwanja No 163 kitalu G Ubungo NHC, ni mita chache kutoka stendi kuu ya mabasi yaendayo mikoani Ubungo.

Unaweza kutembea au kupanda taxi kutoka stendi kuu ya mabasi yaendayo mikoani Ubungo mpaka Whitemark Hotel kwa kupitia mtaa wa Bank (kati ya ukuta wa stendi ya mabasi na Bank ya NBC-tawi la Ubungo) kisha mtaa wa Njilima.
Au unaweza kupitia Ubungo Plaza mtaa wa Rubada, Mecameca na Njilima.
Au barabara ya Shekilango kupitia mtaa wa Sanaa, Mecameca na Njilima.
Wafanyakazi wetu wa mapokezi wanaweza kukutafutia usafiri kutoka na kwenda katikati ya mji, stendi kuu ya mabasi Ubungo na uwanja wa ndege.

Kiwanja No 163 kitalu G Ubungo NHC,
Nyuma ya Bank ya NBC mtaa wa Njilima
S.L. P 35036 Dar es Salaam;  
Simu za mezani: +255 22 2451807;  
+255 22 2451806;
Faksi: +255 22 2451807
Simu za mkononi:
Tigo: +255 714 429362;  
Voda: +255 767 451807;  
Zain: +255 784 451808
Barua pepe: reservations@whitemarkhotels.com
info@whitemarkhotels.com
Tovuti: www.whitemarkhotels.com

RAMANI YA KUELEKEA WHITEMARK HOTELS LTD

Ramani ya kwenda hotelini, Ubungo
 
Back to content | Back to main menu